• HABARI MPYA

  Thursday, August 04, 2016

  BARCELONA YAICHAPA 4-2 LEICESTER CITY

  Mshambuliaji Luis Suarez (katikati) akiifungia Barcelona bao la pili katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Leicester City mjini Stockholm usiku wa kuamkia leo. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Munir mawili na Rafa Mujica, wakati ya Leicester yote yamefungwa na Ahmed Musa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAICHAPA 4-2 LEICESTER CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top