• HABARI MPYA

  Sunday, August 07, 2016

  PUMZIKA KWA AMANI BAHARIA ABDALLAH MGENI ‘KING BOXER’

  Bondia bora, Abdallah Mgeni ‘King Boxer’ akifanya mazoezi kwenye meli mwaka 1996. Mgeni (sasa marehemu) aliyewika kwenye ndondi miaka ya 1980 hadi 1990, alikuwa Baharia na muda mwingi alikuwa akifanya mazoezi melini, lakini pamoja na hayo alistaafu ngumi za kulipwa bila kupoteza pambano, akijiwekea rekodi ya kuwapiga mabondia bora akiwemo Habib Kinyogoli ‘Master’. Pumzika kwa amani fundi wa ngumi Abdallag Mgeni ‘King Boxer’
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PUMZIKA KWA AMANI BAHARIA ABDALLAH MGENI ‘KING BOXER’ Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top