• HABARI MPYA

    Sunday, August 07, 2016

    YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kipa wa Mtibwa Sugar, Abdallah Makangana akiwa amedaka mpira mbele ya winga wa Yanga, Obrey Chirwa (kushoto) huku akilindwa na beki wake, Cassian Ponera (kulia) katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0 
    Obrey Chirwa (kushoto) akimpira beki wa Mtibwa Sugar, Cassian Ponera
    Beki wa Mtibwa, Salum Mbonde akigeuka na mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony
    Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akiwachambua wachezaji wa Mtibwa Sugar
    Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimgeuza beki wa Mtibwa Sugar, Ally Shomary
    Beki wa Yanga, Hassan Kessy (kushoto) akiwatoka mabeki wa Mtibwa
    Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akifumua shuti mbele ya wachezaji wa Mtibwa
    Winga wa Mtibwa Sugar, Haroun Chanongo akimtoka beki wa Yanga, Hassan Kessy 
    Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Taifa
    Kikosi cha Mtibwa Sugar jana Uwanja wa Taifa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top