• HABARI MPYA

  Thursday, August 04, 2016

  MAN UNITED NA EVERTON HAKUNA MBABE, SARE 0-0

  Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney akitafuta maarifa ya kumtoka kiungo wa Everton, Gareth Barry katika mchezo wa kirafiki kujianda na msimu mpya usiku wa Jumatano. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED NA EVERTON HAKUNA MBABE, SARE 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top