MBWANA SAMATTA KAZINI UBELGIJI JANA GENK WAKIBANWA NYUMBANI 2-2
Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania Mbwana Samatta akimtoka beki wa Waasland-Beveren katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji usiku wa jana Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk, timu hizo zikitoka sare ya 2-2 mabao ya wenyeji yakifungwa na Nikolaos Karelis dakika ya 35' na Laurent Jans aliyejifunga dakika ya 73, wakati ya wageni yalifungwa na Ibrahima Seck dakika ya saba na Jonathan Buatu dakika ya 23
Samatta akipambana na beki wa Waasland-Beveren Uwanja wa Luminus Arena jana
Samatta akijaribu kumuondoa njiani beki wa Waasland-Beveren jana
Samatta akimfunga tela na beki wa Waasland-Beveren Uwanja wa Luminus Arena jana
Samatta akifumua shuti katika mchezo mgumu wa jana mjini Genk
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment