Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Lionel Messi (kulia) baada ya kufunga katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Sampdoria kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Camp Nou. Mabao ya Barca yalifungwa na Messi mawili na Suarez moja, wakati ya Sampdoria yalifungwa na Luis Muriel na Ante Budimir PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Being the team to beat is weighing on scarred Arsenal: ISAAN KHAN on how
Mikel Arteta can demonstrate a collapse isn't coming - and the problem he
has in attack
-
ISAAN KHAN AT THE EMIRATES STADIUM: Arsenal and pressure are like oil and
water, two elements which just don't mix. The heaviness of being the team
to beat...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment