• HABARI MPYA

  Saturday, August 13, 2016

  MAN CITY YAANZA VYEMA LIGI KUU ENGLAND, YASHINDA 2-1

  Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Sunderland, Patrick van Aanholt kwenye boksi na kuwa penalti ambayo ilifungwa na Sergio Aguero dakika ya nne katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Man City iliyo chini ya kocha mpya, Pep Guardiola ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Aguero na Paddy McNair aliyejifunga dakika ya 87 wakati la Suderland lilifungwa na Jermain Defoe PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAANZA VYEMA LIGI KUU ENGLAND, YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top