Robert Snodgrass (juu) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Hull City ikiwalaza 2-1 mabingwa watetezi katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa KCOM. Bao lingine la Adama Diomande wakati la Leicester lilifungwa na Riyad Mahrez kwa penalti baada ya Tom Huddlestone kumchezea rafu Demarai Gray PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ole Gunnar Solskjaer is there if I need him – Michael Carrick
-
Manchester United’s short-term head coach has spoken to the man he pipped
to the job.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment