Wachezaji wa Liverpool wakimrukia kocha wao, Jurgen Klopp kushangilia ushindi wa 4-3 dhidi ya wenyeji, Arsenal Uwanja wa Emirates leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Philippe Coutinho mawili, Adam Lallana na Sadio Mane, wakati ya Arsenal yamefungwa na Theo Walcott aliyekosa penalti pia, Alex Oxlade-Chamberlain na Calum Chambers PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL star Rasheed Walker 'arrested on gun charge' at New York's LaGuardia
airport
-
The offensive lineman, 25, was found with the firearm by TSA agents on
Friday afternoon before being taken into custody.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment