• HABARI MPYA

  Saturday, August 20, 2016

  IBRAHIMOVIC AGONGA ZOTE MBILI MAN UNITED YAUA 2-0 ENGLAND

  Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Man United ikishinda 2-0 dhidi ya Southampton usiku huu Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Ibrahimovic ndiye aliyeifungia bao la pili pia timu ya kocha Mreno, Jose Mourinho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AGONGA ZOTE MBILI MAN UNITED YAUA 2-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top