• HABARI MPYA

  Sunday, August 21, 2016

  BRAZIL WANYAKUA MEDALI YA DHAHABU OLIMPIKI SOKA, WAINYOA UJERUMANI KWA MATUTA


 • Wachezaji wa Brazil wakiongozwa na Nahodha wao, Neymar (katikati) wakishangilia baada ya kushinda Medali za Dhahabu za Michezo ya Oilimpiki 2016 Uwanja wa Maracana mjini Rio usiku wa jana kufuatia ushindi wa penalti 5-4 baada ya sare ya 1-1. Brazil ilitangulia kwa bao na Neymar dakika ya 27, kabla ya Max Meyer kuisawazishia Ujerumani dakika ya 59. Neymar akaenda kupiga na kufunga penalti ya ushindi, baada ya mkwaju wa Nils Petersen kuokolewa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRAZIL WANYAKUA MEDALI YA DHAHABU OLIMPIKI SOKA, WAINYOA UJERUMANI KWA MATUTA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top