• HABARI MPYA

  Saturday, August 20, 2016

  AGUERO, NOLITO KILA MMOJA APIGA MBILI MAN CITY YAUA 4-1 ENGLAND

  Sergio Aguero (kushoto) akishangilia na Raheem Sterling baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili, la kwanza kwa penalti dakika ya 27 na lingine akimalizia pasi ya Kevin De Bruyne dakika ya 36 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Stoke City leo Uwanja wa Bet365 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yalifungwa na Manuel Agudo Duran maarufu Nolito dakika ya 86 na 90 na ushei, wakati la wenyeji lilifungwa na Bojan Krkic kwa penalti dakika ya 49  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO, NOLITO KILA MMOJA APIGA MBILI MAN CITY YAUA 4-1 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top