• HABARI MPYA

    Sunday, May 08, 2016

    VICTOR KILOWOKO FUNDI MWINGINE WA MPIRA SI WA KUMSAHAU

    Kiungo wa timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Victor Kilowoko akitafuta maarifa ya kumpokonya mpira beki wa Ghana, Yakoub Lawal katika mechi ya kufuzu Fainali za Vijana Afrika iliyochezwa Juni 26, mwaka 1999 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VICTOR KILOWOKO FUNDI MWINGINE WA MPIRA SI WA KUMSAHAU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top