• HABARI MPYA

    Sunday, May 29, 2016

    WAFALME REAL MADRID WALIVYOPOKEWA NYUMBANI NA MWALI WA ULAYA

    Wachezaji wa Real Madrid wakiwa kwenye gari wazi wakati wa mapokezi yao mjini Madrid kutoka Milan, Itali ambako jana waliwafunga kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 1-1 Uwanja wa San Siro katika fainali ya Ligi ya mabingwa Ulaya  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAFALME REAL MADRID WALIVYOPOKEWA NYUMBANI NA MWALI WA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top