Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, May 22, 2016

  DIDA ALIVYOGOMBEWA 'KAMA MPIRA WA KONA' JUZI UWANJA WA NDEGE

  Kipa wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' akipambana kuwachomoka mashabiki wa timu hiyo baada ya timu kuwasili juzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, ambako iliitoa Sagarada Esperanca na kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: DIDA ALIVYOGOMBEWA 'KAMA MPIRA WA KONA' JUZI UWANJA WA NDEGE Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top