Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, May 26, 2016

  HII NDIYO UKISIKIA 'BEKI ANAKABA' KAMA AGGREY NA MSUVA JANA

  Beki wa Azam FC, Aggrey Morris akimdhibiti winga wa Yanga, Simon Msuva katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1
  Msuva akienda chini baada ya kuzidiwa nguvu na Aggrey
  Aggrey anajizuia kumuangukia Msuva baada ya kufanikiwa kumsimamisha
  Aggrey anaangukia upande wake pili kukwepa kumuangukia Msuva
  Ilianzia hivi; Aggrey alimkimbilia kwa kasi Msuva ili aupitie mpira miguuni mwake  Lakini Msuva akafanikiwa kuudokoa mpira ukatangulia naye akamruka Aggrey, ndipo beki wa Azam akatumkia maarifa ya ziada kumzuia winga wa Yanga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: HII NDIYO UKISIKIA 'BEKI ANAKABA' KAMA AGGREY NA MSUVA JANA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top