![]() |
| Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Saad Kipanga akitafutaa maarifa ya kupasua katikati ya wachezaji wa Simba jana |
![]() |
| Nahodha wa Simba, Mussa Mgosi (kulia) akigombania mpira dhidi ya wachezaji wa JKT Ruvu |
![]() |
| Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akivuta kasi kupiga krosi pembeni ya wachezaji wa JKT Ruvu |
![]() |
| Madenge Ramadhani wa JKT Ruvu, akimgeuza Mwinyi Kazimoto wa Simba |
![]() |
| Wachezaji wa JKT Ruvu wakishangilia bao la pili jana Uwanja wa Taifa |








.png)
0 comments:
Post a Comment