• HABARI MPYA

    Monday, May 30, 2016

    ITALIA YAIKANDAMIZA 1-0 SCOTLAND PASHA PASHA YA EURO 2016

    Giorgio Chiellini iwa Italia akimruka Phillips wa Scotland katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa Jumapili kujiandaa na fainali za Euro 2016 nchini Ufaransa. Italia ilishinda 1-0, bao pekee la Graziano Pelle nchini Malta  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ITALIA YAIKANDAMIZA 1-0 SCOTLAND PASHA PASHA YA EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top