Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Friday, May 27, 2016

  "MAMA ENDELEA KUMPA TAMBWE MAMBO MAZURI AZIDI KUTUFUNGIA MABAO"

  Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Isaac Chanji (kushoto) akimpongeza mshambuliaji wa timu yake, Mrundi Amissi Tambwe mbele ya mkewe kulia juzi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya fainali ya kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) wakishinda 3-1 dhidi ya Azam FC
  Tambwe alijumuika na mkewe na mashemeji zake baada ya fainali ambayo alifunga mabao mawili Jumatano
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: "MAMA ENDELEA KUMPA TAMBWE MAMBO MAZURI AZIDI KUTUFUNGIA MABAO" Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top