![]() |
| Kiungo wa TFF, Wilfred Kidau akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Azam TV, Ally Mayay |
![]() |
| Ally Mayay akimfunga 'behewa' Wilfred Kidau mchana wa leo Uwanja wa Taifa |
![]() |
| Kiungo wa Azam TV, Jeff Leah akisukumana na kiungo wa TFF, Ally Ruvu kuwania mpira |
![]() |
| Aliyekuwa mchezaji wa Azam TV, Twalib Omar (kushoto) leo aliibukia kwa Maofisa wa TFF |








.png)
0 comments:
Post a Comment