Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Friday, March 18, 2016

  MASHABIKI MAN U, LIVERPOOL WATWANGANA JUKWAANI

  Mashabiki wa Manchester United (kushoto) wakichapana makonde baada ya kutibuana wakati wa mchezo baina ya timu zao hatua ya 16 Bora Europa League Uwanja wa Old Trafford. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 na Liverpool kufuzu Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya wiki iliyopita kushinda 2-0 Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MASHABIKI MAN U, LIVERPOOL WATWANGANA JUKWAANI Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top