• HABARI MPYA

    Wednesday, March 30, 2016

    MESSI AING'ARISHA ARGENTINA, BRAZIL CHUPUCHUPU

    Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi akifunga kwa penalti katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia jana dhidi ya Bolivia, timu yake ikishinda 2-0 mjini Cordoba, bao lingine likifungwa na Gabriel Mercado PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    Dani Alves akishangilia baada ya kuifungia Brazil bao la kusawazsha dakika za lala salama ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji Paraguay. Bao lingine la Brazil lilifungwa na Ricardo Oliveira, wakati ya Paraguay yamefungwa na Dario Lezcano and Edgar Benitez PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AING'ARISHA ARGENTINA, BRAZIL CHUPUCHUPU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top