Kipa wa kimataifa wa Hispania, Iker Casillas (kushoto) amefunga ndoa ya siri na mpenzi wake, Sara Carbonero (kulia) ambaye ni mwandishi wa habari za michezo nchini humo. Wawili hao walioanza mapenzi yao mwaka 2010 na wanatarajiwa kupata mtoto wa pili, walifunga ndoa yao iliyohudhuriwa na watu wachache ukumbi wa Boadilla del Monte mjini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chelsea host Man Utd in Women's FA Cup - see full fifth-round draw
-
Holders Chelsea will take on Manchester United in the fifth round of the
Women's FA Cup - a repeat of last year's final.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment