Wachezaji wa Simba, Abdul Mashine (kusoto) na Twaha Hamidu (kulia) wakifanya mazoezi mjini Nice, Ufaransa mwaka 1993 kabla ya mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la CAF dhidi ya USM El Harrach ya Algeria. Simba iliitoa timu hiyo na kwenda kuitoa pia Atletico Sport Aviacao ya Angola katika Nusu Fainali kisha kutinga Fainali, ambako walifungwa na Stella Abdijan
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment