Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika sare ya 2-2 na wenyeji Brazil usiku wa jana Uwanja wa Pernambuco Arena mjini Recife kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia. Bao lingine la Uruguay lilifungwa na Edinson Cavani, wakati ya Brazil yalifungwa na Douglas Costa na Renato Augusto. Ikumbukwe Suarez alikuwa anaichezea kwa mara ya kwanza Uruguay baada ya miezi 20 ya kutumikia adhabu yake ya kufungiwa kwa kumng'ata Giorgio Chiellini kwenye fainali za kombe la Dunia mwaka 2014 Brazil PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Iran's famed singer Googoosh recalls family, exile and life in the spotlight
-
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — For Googoosh, Iran's most-famous singer,
life always has been balancing act of one kind or another.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment