Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, March 27, 2016

  YANGA WALIPOTUMIA JEZI ZA TAIFA STARS LIGI YA MABINGWA MWAKA 1998

  Mshambuliaji wa ASEC Abidjan ya Ivory Coast, Abou Dominique akimtoka beki wa Yanga, John Jacob Mwansasu katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 1998 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. ASEC ilishinda 3-0. Yanga walioweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kabla ya Simba kujibu mwaka 2003, walitumia jezi za timu ya taifa, Taifa Stars baada ya jezi zao kufanana na za wageni, ASEC na hawakuwa na jezi nyingine.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: YANGA WALIPOTUMIA JEZI ZA TAIFA STARS LIGI YA MABINGWA MWAKA 1998 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top