• HABARI MPYA

  Wednesday, March 30, 2016

  VODACOM YAMKABIDHI MKWANJA WAKE KAPOMBE

  Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe (kushoto) akikabidhiwa mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 baada ya kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwezi Januari leo asubuhi viwanja vya Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kutoka kwa wadhamini wakuu wa ligi hiyo, Kampuni ya Vodacom Tanzania. Wengine kutoka kulia ni Ofisa wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), Joel Balisidya, Ofisa Matukio na Udhamini wa Vodacom, Ibrahim Kaude na Meneja wa Azam, Luckson Kakolaki 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VODACOM YAMKABIDHI MKWANJA WAKE KAPOMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top