Kiungo wa Ujerumani, Mestu Ozil akimtoka kiungo wa England, Dele Alli (kulia) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku huu Uwanja wa Olympia mjini Berlin. England imeshinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Harry Kane, Jamie Vardy na Eric Dier baada ya Ujerumani kutangulia kwa mabao ya Toni Kroos na Mario Gomez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
QATAR AIRWAYS YATEMBEZA WAANDISHI MJINI DOHA.
-
*Qatar Airways yapeleka waandishi kutoka vituo mbalimbali vya habari na
utangazaji vya Africa kwa ajili ya matembezi mjini Doha. Katika matembezi
hayo wan...
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment