• HABARI MPYA

  Thursday, March 17, 2016

  AZAM NA STAND UNITED KATIKA PICHA

  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akiwalamba chenga wachezaji wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0
  Beki Shomary Kapombe wa Azam FC akimiliki mpira mbele ya beki wa Stand United, Suleiman Mrisho
  Mshambuliaji wa Azam FC, Allan Wanga akimtoka beki wa Stand United, Suleiman Mrisho
  Beki wa Stand United, Revocatus Richard akiondosha mpira kwenye hatari mbele ya mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche
  Winga wa Azam FC, Farid Mussa (kulia) akimtoka kiungo wa Stand United, Amri Kiemba nyuma yake, huku Nassor Masoud 'Chollo' akiwa tayari kutoa msaada
  Nassor Masoud 'Chollo' akimiliki mpira katika ya wachezaji wa Azam FC

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM NA STAND UNITED KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top