• HABARI MPYA

  Saturday, March 19, 2016

  AZAM FC WALIVYOKAMUA JANA CHAMAZI

  Kipa wa Azam FC, Aishi Manula (juu) akidaka mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa marudiano Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini 
  Beki Erasto Nyoni akiondoka na mpira mbele ya mshambuliaji Mkenya, Allan Wanga
  Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita kiungo mwenzake, Frank Domayo
  Kiungo Himid Mao akikimbilia mpira mbele ya mshambuliaji Mrundi, Didier Kavumbangu
  Kocha wa makipa, Iddi Abubakar (wa pili kulia) akiwapa maneno vijana wake
  Kiungo wa Ivory Coast, Kipre Balou akimiliki mpira mbele ya viungo wenzake, Sure Boy na Mudathir Yahya (kushoto)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOKAMUA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top