• HABARI MPYA

  Friday, January 01, 2016

  YANGA SC SAFARINI ZANZIBAR LEO KUFUATA KOMBE LA MAPINDUZI

  Kiungo Mzimbabwe wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akiwa na wachezaji wenzake kwenye boti wakati wa safari ya kwenda Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi leo, michuano ambayo inaanza Jumapili visiwani humo.
  Meneja wa Yanga SC, Hafidh Saleh (kushoto) akiwa na wachezaji wake kwenye boti

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC SAFARINI ZANZIBAR LEO KUFUATA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top