Wachezaji wa Ubelgiji wakipongezana baada ya ushindi wa 6-1 dhidi ya Cyprus kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels. Mabao ya Ubelgiji yalifungwa na Christian Benteke dakika ya 16 na 67, Kevin De Bruyne dakika ya 35 na 41, Yannick Carrasco dakika ya 44 na Kypros Christoforou aliyejifunga dakika ya 51 baada ya Cyprus kutangulia kwa bao la Nicolas Ioannou dakika ya 14 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment