Eden Hazard (kushoto) na nduguye, Thorgan Hazard (kulia) baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-1 wa Ubelgiji dhidi ya wenyeji, Urusi usiku wa jana Uwanja wa Saint-Petersburg kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020. Thorgan alianza kufunga la kwanza dakika ya 19 kabla ya Eden kufunga mawili dakika ya 33 na 40, wakati bao la nne lilifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 72 huku la Urusi likifungwa na Georgi Dzhikiya dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Fulham vs Manchester United - Premier League: live score and updates
-
Manchester United are looking to go back to the top of the Premier League
as they travel to west London to take on relegation-threatened Fulham at
Craven C...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment