Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga Ureno mabao matatu dakika za saba kwa penalti, 22 na 65 hiyo ikiwa hat-trick yake ya 55 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Lithuania kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Do Algarve mjini Sao Joao da Venda. Mabao mengine ya Ureno yalifungwa na Pizzi dakika ya 52, Goncalo Paciencia dakika ya 56 na Bernardo Silva dakika ya 63 ingawa pamoja na ushindi huo, wanabaki nafasi ya pili kwa pointi zao 14, nyuma ya Ukraine yenye pointi 19 baada ya wote kucheza mechi saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Immigration services go online amid Covid-19 lockdown
-
Following the two-week lockdown imposed on Kigali city, the Directorate
General of Immigration and Emigration (DGIE) has urged the public that all
its se...
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment