• HABARI MPYA

  Thursday, April 12, 2018

  YANGA SC NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Winga wa Yanga, Yussuf Mhilu akimuacha chini kiungo wa Singida United, Mudathir Yahya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja Taifa mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1
  Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akiwatoka wachezaji wa Singida United, Mudathir Yahya (kulia) na Nizar Khalfan (kushoto)  
  Mshambuliaji Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa (kulia) akimtoka beki wa Singida, Miraj Adam 
  Kiungo wa Singida, Deus Kaseke akiondoka na mpira dhidi ya kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi
  Kiungo wa Singida United, Nizar Khalfan akimtoka beki wa Yanga, Kevin Yondan 
  Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya (kushoto) akijaribu kuuzuia mpira uliopigwa na Miraj Adam wa Singida  
  Beki wa Yanga, Hassan Ramadhani Kessy akipasua katikati ya Shafiq Batambuze (kushoto) na Mudathir Yahya (kulia) wa Singida United
  Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akimtoka Kennedy Wilson wa Singida United
  Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa 
  Kikosi cha Singida kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top