Marco Asensio akishangilia kibabe baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 57 ikiilaza 2-1 Bayern Munich usiku huu Uwanja wa Allianz Arena katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bayern Munich walitangulia kwa bao la Josh Kimmich dakika ya 28 kabla ya Marcelo kuisawazishia Real dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
📸 Arsenal train ahead of trip to Leicester City
-
See how Mikel Arteta has been preparing his side for Sunday's Premier
League clash at King Power Stadium
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment