• HABARI MPYA

  Wednesday, April 25, 2018

  LACAZETTE NA BELLERIN WATAKA KUZIPIGA MAZOEZINI ARSENAL

  Wachezaji wa Arsenal, Alexandre Lacazette (kushoto) na Hector Bellerin wakiwa wameshikana wakitaka kugombana kufuatia kukutana hewani wakigomea mpira wa juu mazoezini leo kujiandaa na Nusu Fainali ya kwanza ya Europa League kesho dhidi ya Atletico Madrid Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE NA BELLERIN WATAKA KUZIPIGA MAZOEZINI ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top