Mshambuliaji wa Simba SC, Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden’ akiwa na mpira wake enzi zake miaka ya 1970, kipindi ambacho aliweka rekodi ya kufunga mabao matatu katika mechi moja dhidi ya mahasimu wa jadi, Yanga SC kwenye ushindi wa 6-0 Julai 19, mwaka 1977 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam. Kibadeni alifunga dakika za 10, 42 na 89 wakati mabao mengine yalifungwa na Jumanne Hassan 'Masimenti' dakika ya 60 na 73 na beki wa Yanga, Suleiman Sanga aliyejifunga dakika ya 20.
Eric Comrie makes 34 saves, Winnipeg Jets top Buffalo Sabres 4-1
-
WINNIPEG — Eric Comrie made 34 saves and Kyle Connor scored his
team-leading 15th goal of the season as the Winnipeg Jets downed the
Buffalo Sabres 4-1 on ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment