Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao, Simba leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili wa Simba, Mtunisia Aymed Mohamed Hbibi akiwapasha vijana wake
Wachezaji wa Simba wakipasha misuli moto kabla ya mchezo huo
Wachezaji na Simba na kocha wao, Aymen Mohamed Hbibi wakipasha
Wachezaji wa Simba wakiendelea na mazoezi
Wachezaji wa Yanga nao wakipasha chini ya kocha wao wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mzambia Noel Mwandila
Hapa ni wakati Yanga wanaingia uwanjani kupasha, Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi akiongoza wenzake
Marefa wa mchezi huo Emmanuel Mwandembwa (katikati), Franko Komba (kulia) na Mohamed Mkono (kushoto)
Mashabiki wa Yanga wakitaniana na mahasimu wao, Simba
Mashabiki wa Simba wakiwa wenye kujiamini mapema tu
Rockets Trade Rumors: Sterling Brown Expected to Draw Interest, per Execs
-
The Houston Rockets have reportedly already fielded calls about several of
their stars, but Sterling Brown is also expected to be among players who
will in...
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment