• HABARI MPYA

  Sunday, April 29, 2018

  BALE AZIBA PENGO LA RONALDO REAL, YASHINDA 2-1 LA LIGA

  Winga Gareth Bale (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya nane katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leganes kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao la pili la Real Madrid ambayo ilimpumzisha nyota wake, Cristiano Ronaldo lilifungwa na Borja Mayoral dakika ya 45, kabla ya Darko Brasanac kuifungia Leganes la kufutia machozi dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALE AZIBA PENGO LA RONALDO REAL, YASHINDA 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top