David Silva na Raheem Sterling wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Silva alifunga dakika ya 12 na Sterling dakika ya 16, wakati mabao mengine yamefungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 54, Bernardo Silva dakika ya 64 na Gabriel Jesus dakika ya 88 baada ya kukosa penalty dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment