• HABARI MPYA

  Tuesday, April 24, 2018

  FIRMINO, MANE NA SALAH WAPO VIZURI LIVERPOOL IKIIKARIBISHA ROMA

  Wachezaji wa Liverpool, Roberto Firmino (kulia), Sadio Mane (kushoto) na Mohamed Salam nyuma yao wakiwa mazoezini jana kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Roma leo Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIRMINO, MANE NA SALAH WAPO VIZURI LIVERPOOL IKIIKARIBISHA ROMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top