• HABARI MPYA

  Tuesday, April 10, 2018

  'WENYE TIMU', SUAREZ NA MESSI WAKIPANGA MBINU ZA KUIUA ROMA LEO

  Mshambuliaji Luis Suarez (kushoto) akimuambia kitu mwenzake, Lionel Messi aliyeipa mgongo kamera wakati wa mazoezi ya Barcelona ikijiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Roma leo Uwanja wa Olimpico mjini Roma. Barca ilishinda 4-1 kwenye mechi ya kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'WENYE TIMU', SUAREZ NA MESSI WAKIPANGA MBINU ZA KUIUA ROMA LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top