• HABARI MPYA

  Tuesday, April 10, 2018

  SALAH ALIVYO TAYARI LIVERPOOL MECHI NA MAN CITY LEO ETIHAD

  Wachezaji wa Liverpool, beki Mholanzi Virgil van Dijk (kushoto) na mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah wakinyoosha viungo mazoezini jana kujiandaa na mchezo wa marudiano Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya leo dhidi ya wenyeji, Manchester City Uwanja wa Etihad. Liverpool ilishinda 3-0 mchezo wa kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH ALIVYO TAYARI LIVERPOOL MECHI NA MAN CITY LEO ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top