• HABARI MPYA

    Friday, April 13, 2018

    SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

    Wachezaji wa Simba SC, John Bocco (kulia) na Shomary Kapombe (kushoto) wakiwaacha chini wachezaji wa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam  
    Nahodha wa Simba, John Bocco (kushoto) akiwa ameruka juu na wachezaji wa Mbeya City 
    Mshambuliaji Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi akigombea mpira na beki wa Mbeya City, Haruna Shamte 
    Beki wa Simba, Shomary Kapombe (kushoto) akimtoka Babu Ally Seif wa Mbeya City 
    Winga wa Simba, Shiza Kichuya (kushoto) akiwatoka wachezaji wa Mbeya City, Mohammed Samatta (katikati) na Haruna Shamte (kulia)  
    Beki Mghana wa Simba, Asante Kwasi (kulia) akitafuta mbinu za kumpita Majaliwa Shaaban wa Mbeya City   
    Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimtoka mshambuliaji Frank Ikobela wa Mbeya City
    Anayepigwa kichwa cha mkizi kushoto ni mshambuliaji John Bocco huku kipa wa Mbeya City, Owen Chaima akiokoa kulia na katikati ni Asante Kwasi
    Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana 
    Kikosi cha Mbeya City kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top