• HABARI MPYA

    Friday, April 13, 2018

    SALZBURG YAFANYA MAAJABU, YAIPIGA 4-1 LAZIO NA KUTINGA NUSU

    Wachezaji wa Salzburg ya Austria wakishangilia ushindi wao wa 4-1 dhidi ya Lazio ya Italia usiku wa Alhamisi Uwanja wa Red Bull Arena mjini Wals-Siezenheim na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-5 kufuatia kufungwa 4-2 kwenye mchezo wa kwanza Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SALZBURG YAFANYA MAAJABU, YAIPIGA 4-1 LAZIO NA KUTINGA NUSU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top