• HABARI MPYA

  Sunday, April 01, 2018

  PSG WABEBA KOMBE LA UFARANSA BAADA YA KUIPIGA 3-0 MONACO

  Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakishangilia na Kombe lao la Ligi Ufaransa baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Monaco usiku wa jana Uwanja wa, mabao ya Edinson Cavani mawili, dakika ya nane kwa penalti baada ya Kylian Mbappe kuchezewa rafu na dakika ya 85 na Angel di Maria dakika ya 21 wakati Nahodha, Radamel Falcao pia alifunga, lakini bao likakataliwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG WABEBA KOMBE LA UFARANSA BAADA YA KUIPIGA 3-0 MONACO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top