• HABARI MPYA

  Sunday, April 01, 2018

  IBRAHIMOVIC AANZA NA MBILI LA GALAXY IKISHINDA 4-3 MAREKANI

  Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 77 na 90 na ushei katika mechi yake kwanza kuichezea klabu yake mpya, LA Galaxy ikishinda 4-3 dhidi ya Los Angeles FC usiku wa kuamkia leo kwenye Ligi ya Marekani (MLS) Uwanja wa Stubhub Center, Carson, California PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AANZA NA MBILI LA GALAXY IKISHINDA 4-3 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top