• HABARI MPYA

  Sunday, April 08, 2018

  MESSI APIGA HAT TRICK YA 40 LA LIGA BARCELONA IKISHINDA 3-1

  Mshambuliaji Lionel Messi akipongezwa na wachezaji wenzake, Philippe Coutinho na Ousmane Dembele katika mchezo wa La Liga dhidi ya Leganes jana ambao alifunga mabao yote matatu dakika za 27, 32 na 87 katika ushindi wa 3-1 Uwanja wa Camp Nou, hiyo ikiwa hat trick yake ya 40 katika Ligi Kuu ya Hispania. Bao la Leganes lilifungwa na Nabil El Zhar dakIka ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGA HAT TRICK YA 40 LA LIGA BARCELONA IKISHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top