• HABARI MPYA

  Saturday, April 07, 2018

  BAYERN MUNICH WABEBA TAJI LA SITA MFULULIZO BUNDESLIGA

  Wachezaji wa Bayern Munich wakisherehekea na taji lao la Bundesliga baada ya kuibuka na ushindi wa 4-1 leo dhidi ya Augsburg waliotangulia kwa bao la kujifunga la Niklas Sule dakika ya 18, kabla ya mabao ya Corentin Tolisso dakika ya 32, James Rodriguez dakika ya 38, Arjen Robben dakika ya 62 na Sandro Wagner dakika ya 87 kuipa taji la sita mfululizo la Ligi Kuu ya Ujerumani timu ya Jupp Heynckes PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH WABEBA TAJI LA SITA MFULULIZO BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top